
1 / 3
Zippers
Zipu
Bei Nafuu
Zipu za urefu na rangi zote
Maelezo ya Kina
Zipu zinapatikana kwa urefu na rangi zote — kutoka 15cm hadi 80cm. Aina za coil, metal na invisible zip. Rangi nyingi zinazolingana na vitambaa vyako. Zipu zetu ni imara na zinafaa kwa suruali, jaketi, begi, mifuko na mavazi ya sherehe.
Vipengele
- Urefu 15cm — 80cm
- Coil, metal na invisible zip
- Rangi nyingi
- Inafaa kwa suruali, jaketi na begi
Unaweza Kupenda Pia


