Mashine ya Pearls & Stones — picha 1
1 / 5

PearlsStone

Mashine ya Pearls & Stones

Mpya

Mashine ya pearls na stones

Maelezo ya Kina

Mashine ya pearls na stones inakuwezesha kuweka mapambo ya lulu na mawe kwenye nguo kwa haraka na kwa usahihi. Inafaa kwa wafanyakazi wa kibiashara na wataalamu wa mapambo ya mavazi. Pia tunauza pearls, stones na vifaa vingine vya mapambo. Wasiliana nasi kupata taarifa kuhusu mashine na bei.

Vipengele

  • Mashine ya pearls na stones
  • Pearls na stones zinapatikana
  • Ushauri kuhusu matumizi sahihi

Unaweza Kupenda Pia

Bidhaa Zinazohusiana