Patching — picha 1
1 / 5

Patching Machine

Patching

Mpya

Mashine ya kupatch Stones, Vifungo na Patches

Maelezo ya Kina

Patching ni mchakato wa kuweka nembo, maandishi au muundo kwenye nguo. Tunauza mashine ya kupatch na bidhaa zake — patches, vinyl, na vifaa vingine vya kupamba nguo kwa biashara, shule, timu na mavazi ya kila siku. Wasiliana nasi kupata mashine, patches na bei zilizopo.

Vipengele

  • Mashine ya kupatch inapatikana
  • Patches na bidhaa za patching
  • Inafaa kwa biashara, shule na timu
  • Ushauri kuhusu matumizi na matengenezo

Unaweza Kupenda Pia

Bidhaa Zinazohusiana