
1 / 4
Sewing Machine
Chereani
Hot
Mashine za kushona za aina zote
Maelezo ya Kina
Tunauza chereani za nyumbani na za kibiashara — za kushona mstari wa moja, zigzag, na overlock. Chereani zetu zinafaa kwa wanaoanza na wataalamu. Pia tunatoa ushauri kuhusu chereani bora kwa mahitaji yako na tunauza spare parts zote za chereani.
Vipengele
- Chereani za nyumbani na za kibiashara
- Mstari wa moja, zigzag na overlock
- Spare parts zinapatikana (sindano, bobin)
- Ushauri bure kuhusu chaguo sahihi
Unaweza Kupenda Pia


