Mikasi — picha 1
1 / 4

Scissors

Mikasi

Hot

Mikasi ya nguo na karatasi

Maelezo ya Kina

Mikasi bora ni muhimu kwa kazi sahihi ya ushonaji. Tunauza mikasi ya kukata nguo (fabric shears), mikasi midogo ya kushona (snips), na mikasi ya karatasi/pattern. Mikasi yetu ni makali na imara — inafaa kwa wataalamu na wanaoanza. Pia tunauza mikasi ya kukata thread.

Vipengele

  • Mikasi ya nguo (fabric shears)
  • Snips — mikasi midogo ya kushona
  • Mikasi ya karatasi na pattern
  • Makali na imara kwa matumizi ya kila siku

Unaweza Kupenda Pia

Bidhaa Zinazohusiana