
1 / 4
Measuring Tape
Mkanda wa Kipimo
Mkanda wa kupima nguo
Maelezo ya Kina
Mkanda wa kipimo ni zana ya msingi kwa kila mshonaji. Tunauza mikanda ya vipimo ya 150cm na 300cm — yenye alama za sentimita na inchi. Mikanda yetu ina retract mechanism na ni imara. Inafaa kwa kupima vitambaa, kupima mwili na kazi za ushonaji za kila siku.
Vipengele
- Urefu 150cm na 300cm
- Alama za sentimita na inchi
- Retract mechanism
- Imara kwa matumizi ya kila siku
Unaweza Kupenda Pia


