
1 / 6
Machine Spares
Spares za Chereani
Sindano, bobin, bosi na zaidi
Maelezo ya Kina
Chereani yako inahitaji matengenezo na vipande vipya mara kwa mara. Tunauza sindano za aina zote (universal, ballpoint, leather), bobin za chereani, bosi, pedal, Taja aina ya chereani yako kwenye WhatsApp na tutakusaidia kupata spare sahihi.
Vipengele
- Sindano — universal, ballpoint, leather
- Bobin, bosi na pedal
- Ushauri kuhusu spare sahihi kwa chereani yako
Unaweza Kupenda Pia


