Istem — picha 1
1 / 3

Steam Iron Parts

Istem

Vipande vya pasi na istem

Maelezo ya Kina

Pasi na istem zinahitaji matengenezo na vipande vipya. Tunauza vipande vya pasi ya mvuke — tanki, hose, soleplate, thermostat na vipande vingine. Pia tunauza pasi mpya za nyumbani na za kibiashara. Wasiliana nasi ukiwa na aina ya pasi yako ili tupate spare sahihi.

Vipengele

  • Vipande vya pasi ya mvuke
  • Tanki, hose na soleplate
  • Pasi mpya za nyumbani na kibiashara
  • Ushauri kuhusu spare sahihi

Unaweza Kupenda Pia

Bidhaa Zinazohusiana